Tunayo furaha kubwa kukukaribisha Magazihost, kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma bora za Web Hosting, Domains, na usalama wa tovuti (Web Security) nchini Tanzania na Afrika Mashariki.
Lengo letu ni kuhakikisha biashara yako inakua mtandaoni bila changamoto yoyote. Ndio maana tumekuandalia huduma za uhakika ikiwemo:
- Web Hosting: Kasi ya ajabu na asilimia 99.9% Uptime guarantee. Pata hosting ya kuanzia TSh 9,000/= tu kwa mwezi.
- Usajili wa Domains: Usajili wa haraka wa domains za .co.tz, .or.tz, .com, .net, na nyingine nyingi. TZs 25,000/= tu kwa mwaka kwa domains za Tanzania!
- Security & SSL: Pata ulinzi madhubuti kwa tovuti yako dhidi ya wadukuzi (hackers).
- Marketing Tools: Vifaa vya kukusaidia kukuza brand yako mtandaoni (Logo Maker, Site Maker, na SEO Tools).
Anza leo safari yako ya mafanikio mtandaoni na Magazihost.
Tuesday, August 25, 2026